TO JOIN OUR TELEGRAM GROUP CLICK HERE
TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA KWA KADA ZA AFYA (MARUDIO)
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) inawatangazia
wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 746 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati watakaofanya kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa. Tangazo hili linarudiwa kwa mara ya pili baada ya kukosa waombaji wenye sifa katika tangazo la awali lililotolewa tarehe 20 Aprili, 2022.DOWNLOAD PDF HERE